AvailableHatua 10 za Kuchagua Mwenzi Sahihi wa Maisha
Siri za Kuamua Vyema Leo, ili Uepuke Maumivu ya Baadae.
Vitabu vinavyogusa maisha, mahusiano, kusudi, maamuzi na ukuaji binafsi — vikiwa vimeandikwa kwa mtazamo wa maisha halisi.
AVAILABLE NOW
Chagua kitabu unachotaka, kagua maelezo yake, kisha nunua digital edition kwa hatua rahisi.
AvailableSiri za Kuamua Vyema Leo, ili Uepuke Maumivu ya Baadae.
AvailableKitabu cha kutafakari thamani, nafasi na safari ya mwanamke.
AvailableJiulize jinsi historia yako itaandikwa na kusomeka katika maisha ya watu wanaokuzunguka.
WHY READ DENNIS NAZAR
Maandishi yanayokusukuma kufikiri, kutafakari na kuchukua hatua.
Ideas zinazokualika ujiulize maswali muhimu.
Mtazamo unaounganisha maarifa na maisha ya kila siku.
Maudhui yenye kugusa mahusiano, kusudi na ukuaji.
Ukurasa mmoja unaweza kuanzisha mabadiliko makubwa.
WHY BUY HERE
Hununui faili pekee. Unapata uzoefu wa digital reading uliounganishwa na Private Library yako.
Kitabu chako kinaunganishwa na account yako badala ya kutumwa kama public download.
Soma kwenye simu, tablet au computer yenye internet kupitia My Library.
Payment yako inathibitishwa kabla ya digital access kupewa.
Reader huhifadhi ukurasa uliouishia ili uweze kuendelea baadaye.
COMING SOON
Vitabu viwili vipya bado vinaandaliwa. Fuata updates ili uwe wa kwanza kujua vinapotoka.


ABOUT THE AUTHOR
Dennis Nazar ni mwandishi wa vitabu, mwalimu wa Biblia, mkufunzi mwelekezi (mentor) na mshauri katika masuala ya uongozi, afya, ndoa na familia.
Ametoa mchango mkubwa katika kujenga kizazi cha vijana wanaoelewa kusudi lao, ukuaji binafsi na nguvu ya kutembea katika maono ya Mungu kupitia programu ya ELEVATED LIFE SERIES.
Akiwa na stashahada ya juu ya ufamasia kutoka NOCOHAS pamoja na shahada ya Theology kutoka AUCA, Kigali-Rwanda, ameunganisha maarifa ya afya ya mwili, afya ya akili na mafundisho ya kiroho.
Anaamini kila kijana amewekewa ndani yake maono, ndoto na wito unaokusudiwa kuibua thamani yake duniani — na kupitia maandishi na mafundisho yake, anahamasisha watu kuishi maisha ya kusudi, kanuni na uongozi wenye maadili.
HOW IT WORKS
Chagua digital edition unayotaka kutoka kwenye catalog.
Fuata maelekezo ya Mobile Money kwenye checkout.
Weka Transaction ID au upload screenshot ya malipo.
Order yako inakaguliwa na kuthibitishwa na store admin.
Baada ya confirmation, kitabu kinaongezwa kwenye My Library yako.
Soma online na endelea kutoka ukurasa uliouishia.
QUESTIONS
Unanunua access ya digital edition ndani ya Private Library yako. Original book files hazipelekwi kama public download.
Unaweza kutumia smartphone, tablet au computer yenye internet. Ingia My Library kwa email uliyotumia wakati wa kununua.
Baada ya payment yako kuthibitishwa na admin, access itaongezwa kwenye Library yako na utaelekezwa kuanza kusoma.
Ndiyo. Reader huhifadhi progress yako ili uweze kuendelea kutoka ulipoishia.
Wasiliana na support kupitia WhatsApp au email ya store. Email ya purchase ndiyo hutumika kuhusisha Library access.
Library access ni ya matumizi binafsi ya mnunuzi. Usishiriki credentials au maudhui ya kitabu na watu wengine.

PURCHASE UPDATE
Weka email yako ili upokee taarifa kuhusu vitabu vipya, releases, offers na updates muhimu za store.
Hatuta-spam inbox yako. Taarifa muhimu tu kuhusu vitabu vya Dennis Nazar.